Bado hatua ya mtoano ya michuano ya Ndondo Cup 2017 inaendelea katika uwanja wa Kinesi katika mtaa wa Victor Wanyama, leo July 22 hatua ya mtoano ya 16 bora ya Ndondo Cup imeendelea kwa kuzikutanisha timu za Boom FC dhidi ya Keko Furnitures.
Mchezo kati ya Boom FC na Keko Furnitures
uliamuliwa kwa mikwaju ya penati baada ya dakika 90 za mchezo
kumalizika kwa sare ya kufungana goli 1-1, hivyo mikwaju ya penati
ikabidi kupigwa ili kuamua mshindi wa mchezo huo atakayeingia robo
fainali.
olger tz ni blog ya kuhusu habari zote za ulimwenguni hapa utaelimika utaburudika na kunufaika na mambo mbalimbali ! ungana nasi kwa habari za kitaifa,kimataifa ,michezo bila ya kusahau habari za wasanii ,visa na mikasa na kadharika!!
No comments:
Post a Comment