Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoani Songwe Yaagiza Kukamatwa Mbunge wa Tunduma
Kamati ya Ulinzi na usalama wilayani ya Momba imeagiza kiongozi huyo kukamatwa baada ya kumdhihaki Waziri Mkuu Kassim Majalia, Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Chiku Galawa pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Momba Mhe. Juma Said Irando.

No comments:
Post a Comment