Mamia kwa maelfu ya watu wamekatikiwa na minara ya nguvu ya umeme.Kufikia sasa kifo cha mtu mmoja tu kimethibitishwa kutokea katika mji wa Rockport, huku wakuu wakionya kuwepo kwa mafuriko zaidi ya maji,Zaidi ya wafungwa 4,500 katika gereza moja kusini mwa Houston wamehamishiwa hadi gereza lingine mashariki mwa Texas kwa sababu ya kuongezeka
kwa maji ya mto Brazos ulioko karibu na eneo hilo.

Juhudi za uokoaji zinaendelea huku zikikatatizwa na upepo mkali.
No comments:
Post a Comment