Usiku wa
August 31 2017 Idriss Sultan amezindua kiatu chake mwenyewe kiitwacho
”SULTAN SHOES” na millardayo.com amezinasa picha 10 za mastaa kutoka
katika uzinduzi huo.
olger tz ni blog ya kuhusu habari zote za ulimwenguni hapa utaelimika utaburudika na kunufaika na mambo mbalimbali ! ungana nasi kwa habari za kitaifa,kimataifa ,michezo bila ya kusahau habari za wasanii ,visa na mikasa na kadharika!!
No comments:
Post a Comment