Tuzo za Afrima zimetangaza majina ya
kwanza ya wasanii watakaowania mwaka huu. Imeanza kwa kuyaweka wazi
majina ya kanda mbalimbali. Wasanii waliotajwa kutoka Tanzania ni pamoja
na Diamond, Vanessa Mdee, Alikiba, Nandy na Lady Jaydee watajwa kuwania
tuzo za Afrima 2017.
No comments:
Post a Comment