Tangu mwimbaji wa kike wa Bongofleva Linah kujifungua mtoto wa kwanza
July 25, 2017 kwa mara ya kwanza leo September 3, 2017 amepost kwenye
Instagram yake picha ya mtoto huyo ambaye tangu alipozaliwa hakuwahi
kufanya hivyo.
lina aliandika iviiiii
“Hello there so y’all were curious to see my lil Angel ayt??…. Now
here we go, meet Tracey Paris my beautiful princess…..
@paristraceyparis@kids_cityshopping” – Linah
No comments:
Post a Comment