Tetemeko kubwa la ardhi la nguvu ya 8 katika vipimo vya richa limekumba pwani kusini mwa Mexico.Onyo la kutoea tsumani limetolewa nchini Mexico, Guatemala, El Salvador, Costa Rica, Nicaragua, Panama na Honduras.
Vifo vinne viliripotiwa katika jimbo la Chiapa nchini Mexico karibu na kitovu na vingine viwili katika jimbo la Tabasco.

Picha katika mitandao ya kijamii zilionyesha nyumba zilozokuwa
zimeporomoka katika mtaa wa Oaxaca na Jichitan ambapo ikulu ya manispaa
iliharibiwa kabisa.
No comments:
Post a Comment