mrembo sanchoka a.k.a sanchi ameshinda shindano la ijumaa figa bomba Girl 2017 katika mahojiano alofanya na global tv online Amejisanukia Dau la Mahali yake before ilikua ni mil 10 sasa kashinda ijumaa figa Bomba ni mil 20 kama mahali yake na mtu anaetaka kumuoa.

No comments:
Post a Comment