DOGO JANJA NI MUME HALALI WA IRENE UWOYA - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Friday 3 November 2017

DOGO JANJA NI MUME HALALI WA IRENE UWOYA



Dogo janja leo Athibitisha rasmi kupitia LEO TENA ya CLOUDS FM kua Amefunga ndoa na Mbongo muvi Irene Uwoya ambapo right now anaitwa Sheila zaidi Asisitiza ile siyo kiki bali ndoa halali na kuhusu umri awajapishana sana bali kapitwa miaka 5.
ilikuweka msisitizo zaidi Aonyesha vyeti vyake ndoa nakuwafunga watu midomo kua ni kweli anaumiliki mzigo na ahofii wakware wenye pesa kwani anamuamini mke wake 

No comments:

Post a Comment