oky naona wadada wamujuni they try to be natural by their self yani so siunajua bongo ni jua kaliii kinoma mhhh watu wanahaha kwa joto sasa nikasma ngoja nkupe style ya nywele ambao ukaeza try on cz it simple lakin utapendeza machoni mwa watu put off lace wigz,weavings anhha jarbu kupumzisha kichwa kwa mizigoo ahaha angalia wadada wa town walivo shine
Saturday 2 December 2017
wasup galz now lets put off lace wigz n try this najua utanoga mulemule
Tags
# style za nywele
Share This
About Unknown
style za nywele
Labels:
style za nywele
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
olger tz ni blog ya kuhusu habari zote za ulimwenguni hapa utaelimika utaburudika na kunufaika na mambo mbalimbali ! ungana nasi kwa habari za kitaifa,kimataifa ,michezo bila ya kusahau habari za wasanii ,visa na mikasa na kadharika!!
No comments:
Post a Comment