CUF watwangana makonde mahakamani - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Friday 4 August 2017

CUF watwangana makonde mahakamani



  habari iliyonifikia wakati huu ni kuhusu Wanachama Chama cha Wananchi CUF wanaodaiwa kumuunga mkono Katibu Mkuu wa Chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad na wanaodaiwa kumuunga mkono Mwenyekiti Prof. Ibrahim Lipumba wamepigana katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment