Akichonga na Za Motomoto News, Jike Shupa ambaye anatoka kimapenzi na kijana anayemzidi umri, aitwaye Monterego, alisema vijana wadogo damu zao zinachemka tofauti na ‘wahenga’ ambao wamechoka.
“Vijana wadogo ni raha, maana hawana kazi mbovu kabisa, tofauti na wazee ndiyo maana nimeamua kuwa na mpenzi ninayemzidi umri kwa sababu hata sifikirii kuchepuka kwa kweli maana ananitosheleza,” alisema Jike Shupa
No comments:
Post a Comment