lulu na zari waumiza vibaya mnoo kwenye fashion styles za ofisini - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Friday 25 August 2017

lulu na zari waumiza vibaya mnoo kwenye fashion styles za ofisini


daaah siyo uwongo zari kapendeza kuanzia make up nywele,kitu yaaap uu ndo muonekano wa ki CEO # business woman mhhh money maker

zari nimependa colour ya outfit yako demm u luk amaizing hivi ndivyo boss lady  unatakiwa uonekano
oooh kama lou lou anaongea vile kwa vidole ok les make  deal done ooohw uku akisikizia utamu wa coffee,hiyo miwani ni balaaah na kitu kngne pauze lako nmelpnda yaaan ume relax balaa

No comments:

Post a Comment