kumbe Hamisa Mobeto Alikosa dili la Mil 130 kwa mtoto wake - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Friday 29 September 2017

kumbe Hamisa Mobeto Alikosa dili la Mil 130 kwa mtoto wake

Image result for hamisa mobetokupitia kipindi cha shiladu kinachoruka Clouds TV kila siku ya Ijumaa kutoka kwa watangazi wake hatar wakuu waumbea duniani SoudyBrown na mzee Mkavu ama Quiser  wametung'ata sikio la umbea kuhusu  Mobeto akosa dilz kutoka kwa wadhamini wa mtoto wake Abdul ambae amezaa na Diamond platinum chanzo ni kupandishwa picha za mtoto instagram bila ya matakwa ya wadhamini na kusababisha mtoto kukosa Ubalozi wa companys waloenda kumu approach.Image result for hamisa na mtoto wa diamondiinasemekana ni mil 130 ambzo kazikosa mobeto kwenye dili hiloo kupitia Any way toto utapata dilz nyingne soon in God voice.

\Image result for hamisa mobeto
        Baba na Mama  Abdul  hapa wakiwa kazini pichani

No comments:

Post a Comment