make up zenye Manjonjo katika ulimwengu wa fashion je unaweza kutoka ivii? - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Saturday 23 September 2017

make up zenye Manjonjo katika ulimwengu wa fashion je unaweza kutoka ivii?

make up artist kila siku wanakuja na mapyaa na hizi picha  ndo style mpya ya make up can u try it just once?ili uwende na wakat mhh masuper bongo mpooo habari ndo hiyapaa basi


Now after trends like Monobrows among few hii ya studs nayo imerudi wehere make up artist wanatumia,studs kwenye kumalizia make up looks zao kama kwenye eyes,lips hata uso mzima kwa ujumla.
Baadhi ya mionekano ya hii beauty trend kwa sasa.
For me these are looks ambazo zinafaa kwenye fashion show au modelling za aina ingine kama lipsticks ,eye shadows etc but sio ya ku rock ile kawaida ,may be hizi studs kwenye lips mtu anaweza dhani umetoboa .



credit ::allure
Glamourmagazine 


No comments:

Post a Comment