Siku ya September 7, 2017 kupitia mtandao wa Snapchat Staa Ommy Dimpoz ameamua kutuonesha mwanamke ambaye anadaiwa kuwa huwenda akawa ndiye mpenzi wake ambapo mara baada ya picha na video zikiwaonesha wako pamoja katika mapozi tofauti tofauti.
Ommy Dimpoz ambaye anatamba na wimbo wake wa cheche amepost video na picha akiwa na mrembo huyo kwenye mtandao wa Snapchat na kuzua gumzo ya kuwa huyo ndiye mpenzi wake kwa sasa.
video ya tukio zima check millard ayo
No comments:
Post a Comment