Sanchi Ataka Kuolewa kwa Mahali ya Mil 20 - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Sunday, 22 October 2017

demo-image

Sanchi Ataka Kuolewa kwa Mahali ya Mil 20

maxresdefaultmrembo sanchoka a.k.a sanchi ameshinda shindano la ijumaa figa bomba Girl 2017 katika mahojiano alofanya  na global tv online Amejisanukia Dau la Mahali yake before ilikua ni mil 10 sasa kashinda ijumaa figa Bomba ni mil 20  kama mahali yake na mtu anaetaka kumuoa.
   SANCHOKA-5 SANCHOKA-7 SANCHOKA-9 SANCHOKA-10 SANCHOKA-12 
Sanchi ni mrembo tokea hapa hapa Bongo ambae anakuja kwasi ya ajabu kutokana na umbo lake kutuacha midomo wazi na picha zake matataa zenye mapozi ya kushikishana adabu lakini staa huyu ni video vixen.


Credit go to Global Publishers

No comments:

Post a Comment

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *