with her friends faiza irene paul look the lovely picture full matabasamuuMother of two na mtangazaji wa clouds fm
kipindi cha Take One Zamaradi Mketema amefunga ndo weekend hii .Hongera
sana Zamaradi ,tunakutakia yote yale kheir kwenye maisha yako mapya ya
ndoa.
Zamaradi chose this backless dress with a belt kama ya Kim Kardashian hivi ,lemba la gold with pearls na veil yake pia ikiwa ya lace
Hongera sana kwako dada Zama
mahaba mahabani full kudkeanaa atiii
the dress kwa nyuma mwanamke mgongoo bwanaa weee tena na bae wake akimcheck kwa unyumaa
Hapa sijui ndo walikua wanaelekea honeymoon,wajuz wamambo wanasema ni ndoa ya kimyakimya na mume wake shabani
No comments:
Post a Comment