Lakini Jenerali Abdulamir Yarallah, anakiri kuwa mapigano makali sasa yanashuhudiwa viungani mwa maeneo ya kaskazini mwa mji huo
Mwaandishi wa BBC, anasema kuwa, serikali ya Iraq, inatarajia
kutangaza ushindi wake wa mwisho wa kuutwa mji huo, katika kipindi cha
siku kadhaa zijazo.Mji Tal Afar unatajwa kama ngome ya mwisho ya I-S nchini Iraq, lakini wanajihadi hao wangali wakidhibiti maeneo yote mawili ya mpakani, kati ya Iraq na Syria, na maeneo ya Hawija -- mji ulioko kati ya Mosul na mji mkuu wa Iraqi, Baghdad.
No comments:
Post a Comment