Timu ya yanga imelazimishwa kutoka sare baina lipuli FC kutoka iringa mchezo ulikua mgumu kwani yanga walibanwa na lipuli katika mchezo wa kwanza dakika45 zikaisha na kwenda break huku wakiwa sare na kipindi cha 2 yanga washindwa kufanya maajabu katika nyavu za lipuli mpaka dakik 90 filimbiii pyeee ilo pigwa na refa alosimamia mchezo uwo kuhalalisha mchezoo uwo kwishaa na kua sare kwa matokeo ya yanga 1 vs lipuli 1.na kuwafanya mashabiki yanga wabaki na maumivu katika ligii kuu ya vodacom
No comments:
Post a Comment