Diamond Platnumz ni kama centre ya ubuyu Bongo. Mrembo wa Kenya Huddah
Monroe ameonekana kuwa upande wa adui yake Zari The Bosslady katika
sakata zito la Diamod kuzaa na Hamisa Mobetto.
Baada ya bosi huyo wa WCB kuonekana kuishinda kwa asilimia kubwa vita ya
usaliti kwa kuzaa nje, kupitia mtandao wa Snapchat, Huddah ameamua
kumshushia maneno mazito msanii huyo. Haya ndio maneno aliyoandika
Huddah kwenye mtandao huo.
olger tz ni blog ya kuhusu habari zote za ulimwenguni hapa utaelimika utaburudika na kunufaika na mambo mbalimbali ! ungana nasi kwa habari za kitaifa,kimataifa ,michezo bila ya kusahau habari za wasanii ,visa na mikasa na kadharika!!
No comments:
Post a Comment