picha za suit mbalimbali zenye rangi za ku shout nazani ata ukijificha utabambwaa tuu cz ni mwendoo wa muwako yani colored inawakaa u better jionee mwenyw

waoo pink suit and sneakers lol how great look

huyu kavaa kasuti cha pink na Ankle black boots

blue blue

call it the six buttons suits
na skonkonko unaezaa zivaa ili mradi raha ujipe mwenyw lyk zat c wamenogaa ama awa the pink#mam na mwana rock it time fo u do the same same.
na skonkonko unaezaa zivaa ili mradi raha ujipe mwenyw lyk zat c wamenogaa ama awa the pink#mam na mwana rock it time fo u do the same same.

No comments:
Post a Comment