Rais Magufuli Mchana wa leo Amewaapisha Mawaziri 21 na Manaibu Wake - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Monday 9 October 2017

Rais Magufuli Mchana wa leo Amewaapisha Mawaziri 21 na Manaibu Wake

Rais  Magufuli leo Amewaapisha Mawaziri 21 na Manaibu Wake
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo amewaapisha Mawaziri 21 na Manaibu Waziri 21, aliowateua,baada ya kufanya mabadiliko ya Baraza hilo Oktoba 7, 2017.

Sherehe za kuapishwa kwao zimefanyika Ikulu jijini Dar es salaam, na kuhudhuriwa na viongozi mbali mbali wa kitaifa, wakiwemo Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Kasim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai na Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma
Baada ya kuapishwa Rais Magufuli amewataka Mawaziri hao kuanza kazi mara moja, na wamebadilishana nyaraka mbali mbali za wizara ambazo walikuwa wanatumikia awali, kwa wale ambao wamehamishwa wizara.

                     mawaziri wakila kiapo

No comments:

Post a Comment