Zari Hassan anaomboleza kifo cha mamake miezi miwili tu baada ya kumzika aliyekuwa mumewe Ivan Ssemwanga.
Kulingana
na gazeti la daily nation nchini Kenya. Mfanyibiashara huyo ambaye ni
mke wa msanii wa bongo Diamond Platinum alithibtisha kifo cha mamake
Halima Hassan ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 58 asubuhi ya
Jumatano.Gazeti hilo limesema kuwa mfanyibiashara huyo alithibitisha habari hiyo ya kifo kupitia mtandao wake akichapisha picha ya marehemu mamake na kutangaza habari hizo
No comments:
Post a Comment