Mungu ni mkubwa wadogo zetu wanaendelea vizuri kwa dua zetu watanzania - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Tuesday, 25 July 2017

Mungu ni mkubwa wadogo zetu wanaendelea vizuri kwa dua zetu watanzania

ni kati ya wale walosalimika kwenye ajali ya Arusha ilohusisha shule ya LUCKYVICENT
ambapo wanafunzi walopoteza maisha ilikua 33 na walimu wao 2 na dereva 1

 
The most Tanzanian comedian MASANJA MKANDAMIZAJI alikwenda USA kuwasalimia wadogo zetu.

No comments:

Post a Comment