ndondo cup 2017 - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Saturday, 22 July 2017

ndondo cup 2017

Bado hatua ya mtoano ya michuano ya Ndondo Cup 2017 inaendelea katika uwanja wa Kinesi katika mtaa wa Victor Wanyama, leo July 22 hatua ya mtoano ya 16 bora ya Ndondo Cup imeendelea kwa kuzikutanisha timu za Boom FC dhidi ya Keko Furnitures.
Mchezo kati ya Boom FC na Keko Furnitures uliamuliwa kwa mikwaju ya penati baada ya dakika 90 za mchezo kumalizika kwa sare ya kufungana goli 1-1, hivyo mikwaju ya penati ikabidi kupigwa ili kuamua mshindi wa mchezo huo atakayeingia robo fainali.

No comments:

Post a Comment