amber lulu apata bwana mpya - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Monday, 14 August 2017

amber lulu apata bwana mpya


Muuza nyago (video queen) ambaye hivi sasa amejitosa kwenye Bongo Fleva, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ ameamua kuwadorishia wenzake kwa kujishaua laivu na bwana’ke mpya.

Nusanusa ya Ijumaa Wikienda ilibaini kwamba, bwana huyo mpya wa Amber ni msanii wa Bongo Fleva anayekwenda kwa jina la Zulfika Hamisi ‘Jamwehe’ ambaye ilisemekana kwamba, ndiye aliyemshawishi mrembo huyo kufuta tatuu za mpenzi wake wa zamani, David Genz ‘Young D’.


Juu ya bwana’ke huyo mpya, Amber Lulu alilieleza Ijumaa Wikienda kuwa, sasa hivi ameamua kumuweka hadharani mpenzi wake bila kuhofia chochote kwani hata wale ‘nyakunyaku’ wa mabwana wa wenziye watagonga mwamba kwake

No comments:

Post a Comment