idris sultan awachamba mademu wanaopiga picha za uchi na kujiita models - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Thursday 17 August 2017

idris sultan awachamba mademu wanaopiga picha za uchi na kujiita models


Povu la Idriss Sultan Kwa Wasichana Wanaopiga Picha za Uchi na Kujiita Models.....
By @idrissultan -
"Respect our models, sio kila mdada aliye kaa kaa uchi tu anaitwa model .. Flaviana is a model, Herieth Paul is a Model, Millen is a model, Maggie Vampire is a model, Niler is a model, Lorraine is a model, Julitha, Cherie , Dax is a model, Ben breaker ni model, Lota, Dieitrich ni model na wengine wengi tu wanafanya runways na billboards na hata wale wanaofanya social media kwaajili ya maduka etc etc wapewe heshima yao... Huu upuuzi watu wanafanya na kusingizia ni modeling is rubbish kabisa unatangaza brand gani ? Vumbi ? Majani ? Mataulo ? ... Photographers wakiboya washaona gia ya kuwavua nguo ni kuwaita studio kuwagonga nude pics na kuwaambia nyie models ... Nyinyi ni Vyuchi sio models. Professional VYUCHI, international VYUCHI, overseas VYUCHI, VYUCHI unlimited supply ‍♂️ hawa VYUCHI hawatuachi salama ​" Idriss Sultan

No comments:

Post a Comment