demu wakibongo ajulikanae kwa jina Sabby Angel amtamani diamond platinum ili amfikishe kileleni - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Wednesday, 2 August 2017

demu wakibongo ajulikanae kwa jina Sabby Angel amtamani diamond platinum ili amfikishe kileleni

Image result for picha za sabby angel

Sabby Angel asema kati ya wanaume wote aliowahi kutoka nao kimapenzi hakuna hata mmoja aliyewahi kumfikisha kileleni...! ..
"To be honest and sincere Sijafaidi raha ya mapenzi mpaka huu umri niliofikia ..HAKUNA Mwanaume aliyewahinifikisha Kileleni. Naamini bado sijaona raha ya mapenzi and am really hoping to get to experience that soon or later" amesema Sabby ambaye mwaka jana alikiri kuwahi kutoka kimapenzi na Ali Kiba na kusema almanusura penzi lake limuue

Aidha Sabby hakusita kuonyesha hisia zake kwa Diamond Platnumz kwa kusema.... "I personally think Diamond anajua mapenzi, Sio kwa muonekano tu but kwa vitendo. How he treats his women is Dreamy. I totally like Diamond Platnumz he is the perfect example of a real Gentleman...plus rumour has it he is totally Good in Bed but I just Heard" alisisitiza Sabby mwenye asili ya kibantu, kiarabu na kizungu ..
Anyhow, Mojawapo ya films maarufu za Sabby Angel akiwa ameigiza na mastaa maarufu ni Siri ya Giningi akiwa na Gabo Zigamba, Hard Price akiwa na Ray Kigosi na Wolper , Nimekubali kuolewa akiwa na Dr.Cheni, Sio Riziki akiwa na Mzee Majuto, Dude na Tino Hisani Muya ..
Sabby pia ni msanii wa Bongofleva miezi kadhaa alitoa wimbo wa "Inahusu" directed by Adam Juma, Aidha Sabby alikuwa finalist wa wawakilishi wa Tanzania kwenda Big Brother Africa 2014 ingawa sababu za yeye kutokwenda S.Africa hazikutajwa hivyo Idris Sultan na Irene La Veda kwenda BBA

No comments:

Post a Comment