Simba imechapwa kwa bao 1-0 katika mechi yake ya kwanza ya kirafiki baada ya maandalizi ya msimu wa 2017-18.
Simba imelala kwa bao 1-0 dhidi ya wenyeji wake Orlando Pirates katika
mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Orlando jijini Johannesburg, Afrika
Kusini.
Mganda Emmanuel Okwi na John Bocco ndiyo walioongoza mashambulizi na
walifanya kila juhudi kutaka kusawazisha bao hilo lililofungwa katika
kipindi cha kwanza lakini hawakufua dafu dhidi ya vigogo hao wa Afrika
Kusini.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
olger tz ni blog ya kuhusu habari zote za ulimwenguni hapa utaelimika utaburudika na kunufaika na mambo mbalimbali ! ungana nasi kwa habari za kitaifa,kimataifa ,michezo bila ya kusahau habari za wasanii ,visa na mikasa na kadharika!!
No comments:
Post a Comment