Dogo janja afunguka anampenda Irene Uwoya - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Wednesday 30 August 2017

Dogo janja afunguka anampenda Irene Uwoya


,   Image result for PICHa za dogo janja
                     Msanii wa Bongo Flava dongo janja

Dogo Janja amezungumzia taarifa zilizokuwa zikidai kuwa anatoka kimapenzi na Muigizaji wa filamu Irene Uwoya.

Rapper huyo ambaye ameachia ngoma mpya leo ‘Ngarenaro’ amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds Fm kuwa ukaribu wao ulikuwa wa kawaida tu na hakuna kilichokuwa kinaendelea kati yao ingawa watu waliwachukulia vinginevyo.

“Nampenda sana yule dada lakini kuwa na mazoea naye kidogo kumezua maneno mengi,” amesema Dogo Janja.

July mwaka huu zilienea taarifa katika mitandao ya kijamii kuwa wawili hao wameonakana jijini Mwanza katika matanuzi  ya nguvu kitu kilichozua minong’ono kuwa wapo mapenzini

No comments:

Post a Comment