Wanafunzi manusura wa ajali ya basi la
Wanafunzi wa Lucky Vincent iliyotokea May 6, 2017, Karatu na kupoteza
maisha ya wanafunzi 32, walimu 2 na dereva leo September 9, 2017
wamefanya mahafali.
Watoto hao ambao ni Sadia, Wilson na Doreen wamefanya mahafali leo
ikiwa ni baada ya takribani siku 123 tangu walipopata ajali kisha
kupelekwa Marekani kwenye matibabu na kurejea nchini August 18, 2017.
olger tz ni blog ya kuhusu habari zote za ulimwenguni hapa utaelimika utaburudika na kunufaika na mambo mbalimbali ! ungana nasi kwa habari za kitaifa,kimataifa ,michezo bila ya kusahau habari za wasanii ,visa na mikasa na kadharika!!
No comments:
Post a Comment