Ni Eid al-Adha
Happy Eid kwenu wote na tuwe waaangalifu katika mitoko yetu ya leo as u knows ni holiday na hizi ndzo nguo zitazovaalika sana moja asubui lazima watu waka swali so wanawake must kuvaa nguo za stalaa katika swala
sisterly love, si kwa hawa tuu bali sambaza upendoo kwa wote
Mash Allah,Allah Awabariki nyootee stay safe guyz
No comments:
Post a Comment