jux ateseka kwa penzi la Vanessa mdee - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Thursday 31 August 2017

jux ateseka kwa penzi la Vanessa mdee

Image result for jux picha
kipind bado wapenzi daaah ilikua miongon mwa couple nlizokua nkiizipenda

Aliandika haya kwenye ukurasa wake wa instagram.
Nakumbuka mara ya mwisho kufanya party ya Birthday yangu ilikuwa 2013, Miaka 
minne iliyopita. Sikuwahi kufanya party yoyote tena sababu nilikuwa na rafiki, mpenzi na mtu wa karibu kuliko mtu yoyote kwenye maisha yangu. Miaka yote iliyofata nilikuwa na yeye mpaka sasa atuko tena karibu kama mwanzo, Tumebaki kuwa marafiki wa kawaida tu 😔😔😔. Uwepo wake tu ulikuwa ni zaidi ya chochote kwenye siku yangu ya kuzaliwa, Kuongea na yeye au txt yake tu ilitosha kukamilisha siku yangu. Ila sasa sidhani kama itakuwa kama mwanzo 😔😔😔. Nitafarijika sana kama nitamuona hiyo siku. This time nataka kuparty na watu wangu nani anataka kuparty na mimi katika siku ya birthday yangu ?Image result for jux picha

No comments:

Post a Comment