Magufuli AVURUGA MCHORO wa Lowassa na Chadema! - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Thursday 17 August 2017

Magufuli AVURUGA MCHORO wa Lowassa na Chadema!

Katika kampeni za kugombea urais nchini Kenya.LOWASSA na CHADEMA
walitaka kutumia tetesi zilizokuwepo kuwa Magufuli anamuunga mkono Raila Odinga.

Hivyo nao katika kulipiza uchungu wa kushindwa uchaguzi wakasema WATAAMUUNGA mkono Uhuru Kenyatta ili Magufuli asikie naye uchungu.

Lakini cha kushangaza ni kuwa Rais Magufuli AMETUMA haraka salamu za PONGEZI kwa rais Kenyatta kwa KUCHAGULIWA tena kwa MUHULA wa pili wa utawala wake. Mara tu zilipotangazwa.

Na hivyo KUSAMBARATISHA KABISA mbinu za KUNGANISHA kati ya Serikali ya Tanzania na Kenya. Huku akiwaacha Chadema na Lowassa WAKISHANGAA wasijue nini cha kufanya.

Ikikumbukwa Lowassa alitoa waziwazi kauli yake na chama chake kuwa kinamuunga mkono Kenyatta(.....) NIA kubwa ilikuwa ni kwamba Rais Magufuli aonekane kuwa HAMPENDI Uhuru Kenyatta. Na pia aonekane kama ni Kiongozi asiyejua mambo ya
Utawala,
Prokali na
Diplomasia.

Lakini kwa HEKIMA na USHAURI aliopata akaamua kumpongeza Uhuru kenyatta HARAKA sana na kuwaacha CHADEMA na Lowassa wakishangaa tu wasijue nini cha kufanya.

Maana walikuwa wakifikiri Rais Magufuli ANGEJIKOKOTA kwa muda mrefu KUMPONGEZA Kenyatta katika ushindi wake.

Rais Magufuli aliangalia picha kubwa kati ya URAFIKI na MASLAHI ya NCHI. Na akachagua MASLAHI ya nchi/National Interests badala ya URAFIKI.
kwa Hilo tunampongeza sana.

ITABIDI basi Lowassa and Co. KURUDI kwenye drawing table/ Meza ya KUCHOREA maana MCHORO wao Magufuli AMEUVURUGA na sasa ni HISTORIA.
Hongera Magufuli kwa Hehima hiyo

No comments:

Post a Comment