mkuu wa mkoa wa dar atoa ujumbe kuhusu beef ya diamond na ally kiba - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Sunday 27 August 2017

mkuu wa mkoa wa dar atoa ujumbe kuhusu beef ya diamond na ally kiba



Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda ameamua kuandika maoni yake kutokana na kile anachokiona kuhusu wasanii wa Bongofleva wanaoshindanishwa kimuziki ambao ni Alikiba na Diamond.
RC Makonda ameaandika maneno 17 kwenye Instagram ambayo yanawahusu mastaa hao wanaotajwa kuwa wana ushindindani kimuziki akionesha kufuraishwa na kazi za mastaa hao lakini akiwaonya tofauti zao kutovuka mipaka na kuvunja sheria au tamaduni za kitanzania.
>>>“Tofauti zenu mimi nazipenda, kwani zinaleta ushindani mzuri kwenye mziki. Ila naomba mzingatie sheria na Utamaduni wetu..” – RC Makonda

No comments:

Post a Comment