Wema walimsifia sana Esha Buheti ambaye alivaa nguo za kujistir mwili wake wote akiwa anapiga picha za Martenity.
na kama wasemavyo ushauri si lazima
uufatwe,Hamisa Mobetto yeye hizi picha ni za pili ambazo zinasambaa
mitandaoni,akiwa kavaa set ya bikini na la lemba la kitenge kwa kichwaa
emezionaje styles za photos shoot za skuiz its waooo or booo
No comments:
Post a Comment