KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Salum Mayanga ametangaza majina ya kikosi cha wachezaji wa taifa stars - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Saturday 23 September 2017

KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Salum Mayanga ametangaza majina ya kikosi cha wachezaji wa taifa stars



Timu hiyo imeitwa kujiandaa na mechi ya kirafiki iliyopo katika kalenda ya Fifa ambapo watacheza dhidi ya Malawi mnamo Oktoba 11, mwaka huu. Kikosi kamili kilichoitwa na kocha huyo wa zamani wa Mtibwa Sugar ni hiki hapa:
Makipa
Aishi Manula
Peter Manyika
Ramadhani Kabwili
Mabeki
Bonifas Maganga
Abdi Banda
Gadiel Michael
Salim Mbonde
Erasto Nyoni
Adeyuni Salehe Arned
Viungo
Himid Mao
Hamis Abdallah
Mazamiru Yassin
Raphael Daud
Simon Msuva
Shiza Kichuya
Ibrahim Ajibu
Morel Ergenes
Abdul Hilal Hasan
Washambuliaji
Mbwana Samatta
Mbaraka Yusuph
==
Na Denis Mtima/GPL
==

No comments:

Post a Comment