Dkt Mwakyembe ametopa kauli hiyo mkoani Mbeya wakati akizungumza na Maafisa mbalimbali walio chini ya Wizara yake.
“Kiswahili ni lugha yetu ya kwanza ya Kiserikali wanakuja wageni tunatoa hotuba kwa Kiswahili sasa sisi tumepewa fursa ya kusoma kupewa nafasi Maafisa utamaduni Kurugenzi zetu Baraza la Kiswahili la Taifa tunalifanyia nini? alihoji Dkt Mwakyembe.
“Kitu ambacho Mungu ametupa hata Kiswahili leo tuzidiwe Kenya hata Kiswahili kiwe kama Makinikia kweli maana yake tunachezewa ndio maana hata rahisi wa nchi imemkosesha raha hiyo tutachezewa mpaka lini Watanzania.
No comments:
Post a Comment