Ndege Jasusi Aina ya Tai wa Israel Auawa Nchini Syria - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Wednesday, 2 August 2017

Ndege Jasusi Aina ya Tai wa Israel Auawa Nchini Syria


Upinzani nchini Syria watangaza kumuua ndege aliyetumiwa na Israel kufanya shughuli za kijasusi nchini Syria

Upinzani nchini Syria umetangaza kumpiga risasi  ndege aina ya Tai aliyekuwa anatumiwa na Israel kufanya ujasusi katika kanda hiyo .

Ndege huyo anasemekana kuonekana maeneo ya Idlib karibu na mpaka wa Uturuki.

Vikosi vya upinzani vilimuua ndege huyo kwa risasi baada ya kugundua kuwa alikuwa anapaa na kuzunguka  eneo moja katika kanda hiyo .

Ndege huyo alikuwa amewekwa kamera na vifaa vya uchuguzi katika mwili wake .

Syria imekuwa ikikumbwa na vita kwaa miaka 6 sasa

No comments:

Post a Comment