ABOUT SIMBA AND YANGA
nilicheki game mwanzo mwisho siku ya jumatano cjui mpira kiukweli lakini niliona team zote zkicheza vizuri mpaka dakika 90 game kuisha ikija section ya penalty mhh ili ajulikana mshindi ninani apo ndo ulikua muda wa maumivu kwangu aiiseh nliexperince ktu cha tofauti sana ofcoz naiskiaga watu wanafariki kisa tu mpira ilaa kwa uchungu niloupata adi kulia nimeamini kweli wengine wanapoteza maisha kwa mapenzi ya kitu.
oky zen nipende kuipongeza kwa ushindi ila yanga next time msijali mtachukua kombe la ngao ya jamii kwani mko vizuri,kwenye match kma hiyo lazima apatikane mshindi
sikuile siikua ata na nguvu ya kuipongeza nlisubiri machungu yangu yapoe kwanza ndo nije kuipongeza simba leo hongereni sana sina mengi mko vizuri team nzur pia lakini mapenzi yangu yapo kwa yangaaaaaaa...
No comments:
Post a Comment