ommy dimpoz aifuta post yake ilokua na picha ya mama ake diamond - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Friday 25 August 2017

ommy dimpoz aifuta post yake ilokua na picha ya mama ake diamond

Image result for picha za ommy dimpoz
Gumzo kwenye mitandao ya kijamii ni ishu ya Ommy Dimpoz kuamua kuifuta post yake aliyoiweka kwenye Instagram ikiambatana na picha yake akiwa na mama Diamond jambo ambalo lilitolewa maoni sana na Watanzania.

Miongoni mwa mastaa ambao hawakuupenda ujumbe huo ni pamoja na meneja wa zamani wa Ommy Dimpoz Mubenga, Aunty Ezekiel na hata Dada wa Diamond ambaye aliweka comment moja kwa moja kwenye post hiyo akimkanya Dimpoz kutomuingiza mama Diamond katika ugomvi wake na Diamondi.

No comments:

Post a Comment