picha: za muonekano wa Steve Yanga kabla na baada kua na mkwanja - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Thursday, 31 August 2017

picha: za muonekano wa Steve Yanga kabla na baada kua na mkwanja

Kweli Pesa Inatakatisha, Huu Ndio Muonekano wa Sasa wa STEVE YANGA (Shabiki wa Yanga wa Kulia lia)
Huyu kijana alijizolea umaarufu miaka ya nyuma kutokana na tabia yake ya kulia lia sana pale timu yake ya Yanga ilipokuwa ikipokea kichapo alikuwa anashindwa kabisa kujizuia vile vile alihangaika kushiriki kwenye mashindano ya bongo star search lakini hakupata nafasi.
Hii picha kipindi analia baada ya yanga kupokea kichapo
   mhhh apa rafik angu alikua cheusii ata aonekani vizurii yani hapa twin ake mpoki ahahaha joke lakni
 Hapa kipindi anatafuta nafasi Bongo  Star Search

Huu sasa ndio muonekano wa sasa baada ya kula kitengo pale AZAM na yanga kawahama kabisa tena mechi ya juzi simba na yanga ata akua na mchecheto nayoo akuna aliyekoxeaa kusema pesa sabuniya roho.

NB:jamaa mwanzoni alionekana kama kituko sasa hivi kala kitengo hata harmorapa akiendeleza janja janja za kiki atatusua tu siku moja

No comments:

Post a Comment