soo sad shabiki wa simba apoteza maisha sababu ya upigwaji penati ngao ya jamii - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Friday 25 August 2017

soo sad shabiki wa simba apoteza maisha sababu ya upigwaji penati ngao ya jamii


Shabiki wa Simba Anmepoteza Maisha Wakati wa Upigwaji  Penati Katika Mechi ya Ngao ya Hisani
Mkoani Morogoro wilayani Kilombero tarafa ya Ifakara kijiji cha Sakamanga shabiki wa Simba Pastol Abel Kingia alipoteza maisha wakati wa upigwaji wa mikwaju hiyo ya penati, huo ulikuwa ni wakati wa Haruna Niyonzima anakwenda kupiga penati.

Jioni ya Jumatano ya August 23 2017 uwanja wa Taifa Dar es Salaam mchezo wa Ngao ya Hisani uliyokuwa unawakutanisha watani wa jadi Simba na Yanga ulichezwa, kama kawaida mchezo huo hutawala na tambo za mashabiki wa pande zote mbili.

Kwa kawaida mchezo wa Ngao ya Hisani unatakiwa kupata mshindi hivyo baada ya game hiyo ya Simba na Yanga dakika 90 kumalizika kwa sare tasa 0-0, muamuzi wa kati Ely Sasii aliitisha mikwaju ya penati ndio Simba akafanikiwa kupata ushindi wa penati 5-4.

No comments:

Post a Comment