um so inlove na wasanii hawa mpaka nakua chiziii? - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Saturday 26 August 2017

um so inlove na wasanii hawa mpaka nakua chiziii?

Image result for picha za diamondImage result for picha za diamond  Image result for picha za diamondcall him simba
Image result for picha za ally kibaImage result for picha za ally kibaAlly k kwa pozi a.k.a king kiba





MESEGE KWA ALLY KIBA NA DIAMOND 
Kwanza nipende kuwapongeza chibu dee na ally k fo real kazi nzuri mnayofanya hususani kulitangaza taifa letu everybody knows u kua mnatokea Tanzania na pia mungu kawabariki sauti,vipaji,na vipawa vingne mlobarikiwa lakini kitu kikubwa kinachoniumiza mimi kwann ampatan ampendani kutwa kupigana midongo ambvyo si kitu poa kabisa.
mimi kamaa shabiki wenu naumia kuona vijana wa nchi moja mnatifuana kwenye mitandao nakumbukeni tu kuna mashabiki ambao atutak kuwa na side wala team so tukiwaona mnaparuwana amptani tunaumia sana kiukweli cz iwish siku moja mkae meza moja mshare ideas af mfanyee bonge la colabo itakua poa sana sababu wote ni wakali mnajua mnachokifanya haswaa kwenye mziki wa bongo flevar,oky bila ya kusahau jana mmetoa ngoma au siyo yeea ni noma mmetisha nyimbo kal sana audio  na videos zenu ally kiba ume act na yule dada vizur yaan kma kweli alikua akikuseduce vile nice kichupa na kwa diamond  nmependa kila ktu siyo kwa mauno yale uku ukiwa unakata mbaoo .

nawapenda xna kwa kazi zenu nzuri nasi vinginevyo  xo pigeni kazi vijana wa Magufuli



by : Olgertz

No comments:

Post a Comment