young dee na amber lulu wajiachia kwa picha za utupu mhhh si kwa kiki hizi za mkokoteni - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Wednesday, 30 August 2017

young dee na amber lulu wajiachia kwa picha za utupu mhhh si kwa kiki hizi za mkokoteni


Inasemekana Rapa Young Dee na Amber Lulu wanajipanga kutoa ngoma yao pamoja baada ya picha ya kimahaba yenye utata mwingi kuachiwa leo mitandaoni.

Picha hii inamuonyesha Young Dee akiwa anashanga makalio ya Amber Lulu, Ni miongoni mwa picha zitakazotoka katika photoShoot ya kazi yao mpya.

No comments:

Post a Comment