Watu takribani 30 wamefariki kwenje ajali ya maporomoko Congo - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Wednesday 30 August 2017

Watu takribani 30 wamefariki kwenje ajali ya maporomoko Congo


Takriban watu 28 wamefariki kufuatia maporomoko kusini mwa mji wa uchimbaji madini wa Kolwezi katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo kulingana na chombo cha habari cha Actualite.
Eneo hilo ni muhimu kwa madini ya Shaba .

Maporomoko ya hivi karibuni katika eneo la kaskazini-mashriki yaliwaua watu 200, kufuatia mvua kubwa iliosababisha mlima kuangukia kijiji kimoja cha uvuvi katika fukwe za Ziwa Albert.
Mshirikishe mwenzako Unavyoweza kumshirikisha mwenzako

No comments:

Post a Comment