Bunge la Uganda lageuka kua uwanja wa Masumbwi picha hizii hapa - Olgertz
TANGAZA NASI HAPA

Breaking News

Home Top Ad

TANGAZA NASI HAPA

Wednesday 27 September 2017

Bunge la Uganda lageuka kua uwanja wa Masumbwi picha hizii hapa


ngumiii ndani ya bungee tena wametwangwana makondee si kitoto tena wanazichapa mtu kati kabsa uuulalalala nimechekaje si kwa kuminywa uku baba huyu tena wamgombaniaa wengne wanavuta mguu sjui kma ajatoka mgonjwa apooh


hawaa nao wanazipangaaa livee bila chenga yaani kungfu,boxing,martial art umuumu wanajikuta wakina floyd mywethear na Mcgoegory
ahahaha noo coment ebu check wakiminyana hapa ahaha huyu apo ch6ini cjui ndo anakidomodomo sanaa na mama hapo apo pembenii veep
Wabunge Uganda wakigombana ndani ya ukumbi wa bunge baada ya kupishana kuhusu muswada wa marekebisho ya katiba, kipengele cha umri wa Rais.

\


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEist6G_LxFBNvLiNrTin9YrYbtRR8MzKfZoK-jvEEhZubsC7l6oY0jtWYV5ObJlFiksG3C4RCXjjFe1VXEZ2h12R8LPlR3eZZCkYchGuQ8FluLhhzphqoIPwjZyxy9WjrgqzdhUpaptt7U/s1600/DKwMlT5X0AcBc-k.jpg

No comments:

Post a Comment