yees kwenye sector ya urembo,nywele,mavazi kuna mambo mengi saaana na hii ndo mitindo ya nywele ambzo zinachanganywa na uzii zen unapaata styles kama hizi
mwendo wa natural hair unachanganya na nyuzi
sijui ndo inaitwa style ya matairi maana ilivyokaa ka matairi ya baskeli
olger tz ni blog ya kuhusu habari zote za ulimwenguni hapa utaelimika utaburudika na kunufaika na mambo mbalimbali ! ungana nasi kwa habari za kitaifa,kimataifa ,michezo bila ya kusahau habari za wasanii ,visa na mikasa na kadharika!!
No comments:
Post a Comment