Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu adaiwa kupigwa risasi leo akiwa Dodoma,nyumbani kwake na watu wasiojulikana. Taarifa zinaeleza amekimbizwa hispitali ya mkoa wa Dodoma.
No comments:
Post a Comment